Mwanaume anayefanya mapenzi na mwanaume mwenye VVU akiwa katika zahanati jijini Dar es Salaam, Tanzania, Novemba 16, 2016. Kutokana na msako wa serikali kwa jamii ya wanaume wanaofanya mapenzi na wanaume, mtu huyu amekuwa akiogopa kwenda kuchukua dawa zake kwa wiki mbili pamoja na hatari juu ya afya yake.