Wanawake wakiwa kwenye foleni wakati wa shughuli ya kugawa chakula inayoendeshwa na shirika lisilo la serikali la Lagos Food Bank Initiative. Shirika hilo ni la wanachama wa kujitolea na linahudumu katika eneo la Oworoshoki, Lagos, Nigeria.